Mada zilizoshughulikiwa katika mtihani huu ni pamoja na:
-
Tahajia (Imla).
-
Kutunga maneno kutokana na silabi zilizotolewa.
-
Kuandika maneno kwa herufi kubwa.
-
Kutengeneza maneno kwa kuunganisha silabi.
-
Kuandika maneno katika wingi wake.
-
Kutaja vitu vinavyoonyeshwa kwenye picha.


