Mada zilizoshughulikiwa katika mtihani huu ni:
-
Kuandika kwa kusikia (Diktesheni)
-
Kutenganisha silabi (Tenganisha silabi)
-
Kuandika kwa herufi kubwa (Andika kwa herufi kubwa)
-
Maneno ya kinyume (Andika kinyume)
-
Majina ya wingi (Andika kwa wingi)
-
Kuchora picha kutokana na majina ya Kiswahili (Chora picha hizi)
-
Kuandika tarakimu kwa maneno (Andika tarakimu kwa maneno)
-
Kupanga herufi ili kupata maneno kamili
-
Kuandika majina ya picha (Andika majina ya picha)
-
Kusoma na kuelewa (Kusoma Ufahamu) pamoja na maswali


