- Duration:Â Saa 1 Dakika 30 (1 Hour 30 Minutes)
- Total Marks:Â 50 Marks
- Structure:Â Sehemu ya A (Alama 15), Zoezi 2 (Alama 25), Zoezi 3 (Alama 10)
This paper covers the following topics:
- Sehemu ya A: Kuandika
- Uandishi wa Barua Rasmi (Kuomba msamaha)
- Zoezi 2: Fasihi Simulizi
- Uchambuzi wa ngano za wanyama (Mbwa na Fisi)
- Sifa na vipera vya fasihi simulizi
- Mazingira ya uwasilishaji wa hadithi
- Mbinu za kusimulia hadithi kwa hadhira
- Zoezi 3: Novela
- Uchambuzi wa wahusika wakuu na sifa zao
- Kutambua maudhui (Elimu, mshikamano, ujasiri)
- Kufafanua ploti na mtiririko wa matukio
- Mandhari ya hadithi


